Search

200 results for William Shao :

  1. PRIME Dk Salim afichua ndoto zake UN zilivyokatishwa

    Katika moja ya shajara ya Dk Salim Ahmed Salim ya Ijumaa, Desemba 06, 1996, aliandika: “Leo imekuwa siku ya pekee kuhusu uwezekano wa kuwania kwangu nafasi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNSG).

  2. PRIME Nyerere alivyoliomba Bunge liridhie mkataba Muungano

    Jumamosi, Aprili 25, 1964 Rais wa Jamhuri ya Tanganyika, Mwalimu Julius Nyerere, alilihutubia Baraza la Taifa (Bunge) akiliomba liukubali mkataba wa Muungano kati ya Jamhuri ya Tanganyika na...

  3. PRIME Jinsi ilivyokuwa siku moja kabla ya muungano, usiri watanda

    Robo ya kwanza ya mwaka 1964 ilikuwa na matukio mengi kwa siasa za Tanganyika na Zanzibar kuliko wakati mwingine wowote. Haijulikani hasa ni nini kilichomsukuma Rais wa Tanganyika, Mwalimu Julius...

  4. Nyuma ya pazia muungano wa Tanganyika, Zanzibar

    Mengi yamesemwa kuhusu sababu za kufanyika kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania. Lakini ziko sababu tano zilizofanya jambo hilo litokee. Tatu ni za muda mrefu na mbili ni za...

  5. Kilichojificha kuhusu aliyemuua Sheikh Karume

    Vyombo mbalimbali vya habari Tanzania na duniani wakati huo vilimtaja Luteni Humud Muhammed Humud kuwa ndiye aliyetekeleza mauaji hayo akishirikiana na wengine ambao baadaye walipigwa risasi na...

  6. PRIME Mfahamu Judith Suminwa, mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu DRC

    Judith Suminwa anatarajiwa kutangaza Baraza jipya la mawaziri siku chache zijazo na ataongoza Serikali ambayo pia inaundwa na mawaziri na manaibu waziri.

  7. PRIME Mfahamu Bassirou Faye, mfungwa huru aliyeshinda urais Senegal

    Faye alizaliwa Jumanne ya Machi 25, huko Ndiaganiao, Senegal. Mwaka 2000 alipata shahada ya uzamili katika sheria na baadaye alijiunga na Chuo cha Taifa cha Utawala (ENA) na kuhitimu mwaka 2004.

  8. Kashkashi alizopitia mpinzani wa Rais Putin, utata wa kifo chake

    Miaka minne iliyopita Alexei Navalny aliulizwa nini angewaambia raia wa Russia, ikiwa atauawa kwa kumpinga Rais Vladimir Putin.

  9. PRIME Serikali lawamani matumizi ya 'energy drinks'

    Kushindwa kuweka sera madhubuti na kudhibiti utumiaji holela ya vinywaji vikali na vile vya kuongeza nguvu maarufu kama energy drinks, kumetajwa ni chanzo cha kukithiri na hatimaye madhara kwenye...

  10. PRIME Mzee Ruksa: Maisha na siasa za Tanzania

    Maisha ya Ali Hassan Mwinyi aliyezaliwa Mei 8, 1925, yamehitimishwa baada ya kifo chake kilichotokea jana Februari 29, 2024.

Page 1 of 20

Next